Waasi wa M23 waukaribia mji wa Uvira huku wanajeshi wa Kongo wakikimbilia Burundi. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akutana na washirika wake wa Ulaya mjini London. Tanzania yapiga marufuku maandamano ya leo na kuwataka raia kusalia majumbani mwao.