#HABARI: Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam kukionekana kukiwa na utulivu na magari machache barabarani hususan magari binafsi huku Daladala, Bajaji na Pikipiki zikiadimika.