Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Tanzania katika maeneo mbali mbali ya taifa hilo hali inaripotiwa kuwa kimya / Waziri wa mambo ya kigeni wa Burundi amesema nchi yake haitoendelea kunyamaza ikiwa Rwanda itaendelea kushambulia ngome za vikosi vya Burundi vilivyopelekwa kusimamia amani mashariki mwa DRC.