Hili ni Soko Janja la Makachero wa Sentro nyanya hapa tunauza kwa ya shamba, bidhaa za nyumbani kwa bei rafiki.
Tumefanya maisha ya mjini kuwa rahisi kama kijijini, rahisi na halali, hili si soko la kuongeza bei ovyo tunahudumia kwa uadilifu na mfumo thabiti.
Soko letu tunafungua kuanzia 1:30 – 3:00 Usiku vipi huko kwenu, mfumuko upo? Au nanyi mnatamani mfumo wa soko janja letu?
#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyoosha