“Tamthilia ambayo itanisumbua kidoooogo, labda Kombolela…labda…” – @stickmotela mwandaaji wa tamthilia ya Picha Yangu akitamba na kuwa na kazi nzuri zaidi kwenye safu ya burudani za Sinema Zetu msimu huu wa sikukuu.
Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu – Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD pekee.