“Nafikiri vijana wengi hawapendi kufanya kazi tunataka maisha rahisi lakini kiuhalisia hawa ambao tunawaita ma-sponsors, mashangazi wenyewe wanataka starehe sio kwamba anakuhitaji kwa ajili ya kutengeneza future na wewe. Anataka kukutumia kwa sababu anakupatia kitu. Na vijana kwa sababu wanataka maisha rahisi tunaona ni kitu cha kawaida”- @Aunty_Kauthar Mwandishi wa Vitabu na Mkufunzi wa Malezi.

#LiveonClouds360
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *