Kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, Jenista Mhagama kimewagusa watu mbalimbali waliofanya naye kazi, baada ya msiba huo kutokea mapema leo jijini Dodoma.

Marehemu Jenista Mhagama ambaye anatajwa kwa umahiri wake wa kazi, amewahi kuhudumu katika wizara mbalimbali pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 38. Watu mbalimbali wameomboleza kifo chake, akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *