“Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Hakuna sehemu nyingine ambayo tutasema tumezaliwa au kujivunia napo zaidi ya Tanzania.
“Ukipata nafasi ya kuwa kwenye platform yoyote usiwaze kwamba unafaidika na kitu gani na hicho kitu unachokifanya waza tu kwamba hii ni nchi yetu na nchi yako unayoipenda na unataka dunia ijue.
“Kupitia nafasi uliyonayo kama Mwandishi wa habari unahakikisha kwamba dunia inajua kwamba, sisi ni hatari, tuna ubora. Kama ambavyo nafanya nilikutana na Mbappe, nimeshapewa script ya maswali lakini mwishoni ninapomaliza nalimkaribisha afike Tanzania kwamba kuna Serengeti na Ngorongoro”- @JohnJackson_jj
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana