“Kwa sasa uzalishaji wetu wa maji katika Mitambo ya Ruvu chini na Ruvu juu umeshuka kwa kiwango cha chini ya nusu ya uzalishaji wa kawaida, umeshuka kutoka lita Milioni 534 hadi lita milioni 270 kwa siku,”- Mhandisi Mkama Bwire, Afisa Mtendaji Mkuu – DAWASA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *