#HABARI: Watu 5 ambao ni waendesha Bodaboda wamefariki dunia katika eneo la Makulu jijini Dodoma, baada ya lori la mchanga lililokuwa likitokea UDOM kuingia katikati ya Jiji la Dodoma kufeli breki na kuvamia kituo cha waendesha Pikipiki maarufu kama Bodaboda kisha kuwakanyaga na kusababishia vifo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusababisha vifo, ambapo pia mtu mmoja alijeruhiwa ambaye ni utingo wa lori hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *