#HABAI: Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema amechoshwa na mfululizo wa mikutano kuhusu namna ya kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine, na kwamba hadi sasa hakuna hatua madhubuti zinazopatikana.

Trump ametoa kauli hiyo wakati Ukraine ikilalamika kuwa Marekani bado inaishinikiza ikubali mpango unaojumuisha kuachia baadhi ya maeneo yake kwa Urusi kama masharti ya kufikia makubaliano ya amani.

Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Karoline Leavitt amesema Trump hataki kuendelea kusikia maneno matupu bila vitendo, akisisitiza kuwa anachotaka sasa ni kuona vita hivyo vinamalizika.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *