Sheiza ameanza kazi ya kuwasogelea kina Radhia na Chaichaka…Bisura anamfunda mwanaye Chaichaka…Lakini bado binti ana moto moyoni mwake hataki kumuona…Anajaribu kuweka ukaribu na Radhia lakini ni kama anachochea moto.
Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD