Muziki kwa sasa kuna namna unazungumzwa wengine chanya na wengine hasi,Baada ya kipindi cha uchaguzi kupitia.
Mwanamuziki @rascosembo Amewajia Juu kupitia michano yake katika wimbo mpya wa Bongo Hiphop session 2 hii ni baada ya session ya kwanza kutoka miaka miwili iliyopita.
Rasco anasema kunyamaza hawezi kwani wanamuziki wa kufokafoka hawafanyi kazi ipasavyo wakati jamii inawasubiri kama vioo.
Kwasasa rasco anasema yeye ndio mwakilishi pekee wa muziki wa hiphop,aliyazungumza haya kupita kipindi cha @showtimerfa @radiofreeafrica wakati wa mahojiano na @franckietower
Tuachie maoni yako hapa👇🏿👇🏿