Wewe bado ni mfuasi wa utamaduni wa jamii yako?.
Mutamaduni ingawa maendeleo yamesababisha kwa namna moja au nyingine baadhi ya watu kupuuza njia hiyo.
Miongoni mwa manufaa ya tamaduni za Kiafrika ni kukuitanisha familia na kuziunganisha Pamoja hali inayotajwa kupotea kadri siku zinavyokwenda.
Ili kufahamu namna familia nyingi zinavyoparaganyika kutokana na kupuuzia utamaduni ungana na Mshauri Muelekezi wa Stadi za Maisha Siegfride Mbuya akielezea jinsi usasa ulivochangia kubadilisha jamii.
✍Halima Abdallah
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates #hellowikiendi izizi ya jamii nyingi za Kiafrika imejengwa katika kufuata desturi, mila na