HABARI: Zikiwa zimesalia siku chache kuanza kwa msimu wa masomo kwa mwaka wa 2026, baadhi ya viongozi wilayani Handeni, mkoani Tanga, wameanzisha kampeni ya nyumba kwa nyumba yenye lengo la kuwataka wazazi kuwaandikisha watoto wao wanaotarajiwa kuanza darasa la kwanza kwenye shule za msingi na awali na watakaobainika kuwazuia watoto kujiunga na masomo ya awali na msingi watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Hayo yamebainshwa na Diwani Kata ya Chanika, Bw. Fides Kimaro, wakati akizungumza katika kampeni ya nyumba kwa nyumba, ikiwa inaendelea ya kuwataka wazazi wenye watoto kwenda kuwaandikisha kwenye shule zilizopo jirani yao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.