#HABARI: Wadau wa sekta ya utalii mkoani Njombe, wametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini kujitokeza katika uwekezaji wa ujenzi wa hoteli za kisasa, hususani katika kipindi hiki ambacho fursa za ujenzi wa miradi ya migodi ya kimkakati ya makaa ya mawe na chuma wilayani Ludewa ikiwa mbioni kuanza pamoja na ujenzi wa Chuo Kikuu cha UDOM Kampasi ya Njombe ukiwa umeanza.
Wadau hao wa utalii mkoani Njombe wamebainisha uwepo wa fursa hizo katika hafla ya tathimini ya Sekta ya Utalii mkoani humo, ambapo zaidi ya washiriki sitini na mbili walihudhuria hafla hiyo huku wakijivunia moja ya mafanikio ni kwamba uwepo wa fursa za ajira kwa vijana katika uwekezaji katika sekta ya utalii.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.