#HABARI: Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Watanzania kuungana na wenzao duniani, kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. Said Mtanda, ameviagiza vyombo vyote vya usalama kuhakikisha wakazi wa mkoa huo wanasherehekea sikukuu hizo bila vikwazo vyovyote na kuhakikisha usalama unaimarisha katika maeneo yote.

Bw. Mtanda ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, pamoja na wakazi wa Mkoa wa Mwanza, kuhusu masuala mbalimbali yakiwemo ya kiusalama kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *