Yamesalia masaa UZAO MPYA upate kutokea! ikiwa ni safari ya kuelekea Uzao Mpya wa kiimani na fikra tarehe 25/12 kama ilivyo ada kwa kila mwaka, timu ya taifa Clouds360 kesho itaungana live na @prophet.edmoundmystic kuukaribisha Uzao mpya kwa Wakristu wote wanaotarajia kusheherekea sikukuu ya Christmas mwaka huu.
Ni kuanzia 12:30 live on @Cloudstv.
Usikoseee