AFCON 2027
Jumamosi Desemba 27, Taifa Stars itakipiga dhidi ya Uganda, mechi ya pili Kundi C.
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 2:30 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#AFCON #Azamtvsports