“Unabii unahitajika sana katika kizazi hiki kwa sababu watu wengi wanaishi maisha ambayo sio ya kwao. Panapotokea mabadiliko yoyote ya majira, teknolojia na kila kitu, unabii unaweza kubaki relevant kama walioweza kubeba huo unabii hawataweza kuwa confirmed na mambo ya dunia. Unabii unaharibiwa pale ambapo walioubeba watakuwa rahisi kushawishiwa na dhana mpya iliyoingia katika Teknolojia. Wakienenda pamoja na dunia wanaweza kubadilisha content ya unabii. Inasema kwamba wala msifuatishe namna ya dunia hii”- @prophet.edmoundmystic

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *