“Tangu mdogo nilikuwa na uwezo mkubwa sana. Nilikuwa Nina uwezo wa kujitenga porini kwa muda wa siku Tatu.
Sikuwahi kutamani kuwa Mchungaji wala kuwa na kanisa kwa sababu Watumishi wote waliowahi kuitwa na Mungu tangu zamani na wana familia. Na watoto wengi wa wachungaji hawapendi maisha ya wazazi wao kwa sababu ya ugumu wa maisha.
“Mimi nilikuwa na- focus kusoma kwa bidii ili nikomboe familia yangu kiuchumi. Mwaka wa pili nikiwa chuo kikuu. Nimesomea masomo ya Mathematics na Statistics nilitokewa na kitu ambacho hakionekani nilipata maelekezo nifanye kazi ya Mungu”- @prophet.edmoundmystic kutoka Heavenly Image Manifest Church.
#Clouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana