#HABARI: Wajasiriamali wadogo kutoka wilaya tano za Mkoa wa Dar es Salaam, wametoa tamko la kuazimia kuendelea kudumisha amani, na kutumia njia ya mazungumzo kama sehemu muhimu ya kutatua changamoto zinazowakabili, na siyo vitendo vya vurugu kwa kuwa vinasababisha uharibu wa mali za umma na kudhohofisha utoaji huduma kwa jamii.

Powered by #MCHEZOSUPA


JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *