#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kalambo, mkoani Rukwa, Bw. Edfonce Kanoni, amekabidhi msaada wa kibinadamu kwa wagonjwa na wanawake wanaojifungua katika Hospitali ya Wilaya hiyo, kama sehemu ya kuwatakia kheri ya Krismas na Mwaka Mpya, huku akitoa wito kwa wananchi kujenga utamaduni wa kuwahi kwenye vituo vya kutolea huduma za afya pindi wanapokutwa na uchungu wa kujifungua ili kuokoa maisha ya mama na mtoto tumboni.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.