
Jezi zikinig’inia kwenye henga, mashabiki wakishangilia timu zao, pesa zinaingia mfukoni haraka.
Hapa mwanahabari wa TRT Afrika Hamisi Iddi Hamisi anaingia mitaani kuona jinsi joto la AFCON lilivyobadilisha shauku ya mpira wa miguu kuwa biashara halisi.