#HABARI: “Nataka niwahakikishie mkinichagua tutaongeza wodi na zahanati, tunataka watu wa Namonge na Busonzo waishi kama Watanzania wa daraja la juu, Tutahakisha tunaongeza shule, kuna vijiji havikuwa na shule na tumejenga shule mpya. Tumekuja hapa kuomba kura ili tumchague Rais Samia kwa vile ni kumchagua yeye ni kuchagua maendeleo,” amesema Dkt. Biteko.
Dkt. Biteko amesema hayo Septemba 9, 2025 katika mkutano wake wa kunadi sera kwa wananchi wa Kata ya Namonge na Kata ya Busonzo Wilayani Bukombe, Mkoani Geita.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025
When this happens, it’s usually because the owner only shared it with a small group of people, changed who can see it or it’s been deleted.