“Mmeonyesha uwezo mkubwa sana juzi…mlitupa nguvu, sasa kuhakikisha kwamba watanzania wako na nyinyi, juzi baada ya mechi na jana nimepokea simu za Watanzania…na walionipigia simu ni watu ninaowaamini, wameniambia nenda kawaambie vijana wa Taifa Stars, sisi Watanzania tuko pamoja na wao, na mechi ya ya Uganda na Tunisia,Watanzania wananunua goli moja kwa Milioni 100”-Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo -Mh.Paul Makonda
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania