Hifadhi za wanyama pori ni mojawapo ya sehemu ambazo mtu anaweza kwenda kujifunza na kufurahia mambo mengi yanayopatikana humo ikijumuisha
wanyama pori ambao mara nyingi wanaonekana kupitia runinga.

Msikilize Afisa Ekolojia wa Pori la akiba Pande Severine Mushi, akielezea umuhimu wa jamii kutembelea hifadhi hizo hapa nchini.

✍ Ibrahim Kimambo
#AzamTVUpdates
Mhariri: @rajjmsangi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *