Kampuni ya mabasi ya safirishaji wa abiria ya Esther Luxry coach imewataka watanzania kutohusisha kampuni hiyo na masuala ya kisiasa,hali iliyosababisha kampuni kupata hasara kubwa ambapo mabasi sita na ofisi kuchomwa moto wakati wa maandamano ya October 9 mwaka huu jijini Dar es salaam na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi Bil 2.