Rais Trump asema Ukraine na Urusi zinakaribia kufikia makubaliano ya amani // Mtawala wa kijeshi nchini Guinea Mamady Doumbouya atarajiwa kushinda uchaguzi wa rais // Na Algeria yatinga hatua ya mtoano ya AFCON huku Cameroon ikibanwa mbavu na Ivory Coast