#HABARI: Nyumba 16 zimeezuliwa paa katika Kata ya Masakta, wilayani Hanang, mkoani Manyara, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali na kusababisha uharibifu wa mali katika kaya mbalimbali pamoja na Kanisa la FPCT.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *