Polepole alidai kuwa mifumo ya CCM, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Tume ya Uchaguzi imeunganishwa, kauli ambayo alidai inakiwezesha chama chake kupata ushindi hata kabla ya siku ya uchaguzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *