#MICHEZO: @hoseamchopa amezungumza na kocha mzalendo Jamhuri Kihwelo Julio ambae alimuuliza kuhusu baadhi ya wadau wa soka kuamini kuwa wao waliisuka timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kuwa ngumu kiulinzi na kutokuwa wepesi kuruhusu bao kirahisi baada ya kutangulia kufunga.
Tofauti na Stars chini ya Gamondi ambapo ilitanguliwa bao 2 ndani ya dakika 34 lakini zikarudi na kufungwa 4-3.
Ilisawazisha dhidi ya Nigeria dakika ya 50 lakini 52 bao likarudi na mechi dhidi ya Uganda baada ya kutangulia bao dakika 59 lakini baada dakika 21 tu likarudi.
Julio anaamini sio changamoto ya upande mmoja inahusu hadi wachezaji inawezekana wasifuate kile ambacho kocha Miguel Gamondi alikihitaji.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania