Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @chino_kidd7 amesema kuwa hawezi kuacha kuwasaidia dancers, hata kama hapewi heshima anayostahili, kwa sababu bado kuna wengi wanaohitaji msaada.
Kupitia TheSpark ya Clouds tv #Chino ametoa wito kwa baadhi ya dancers wenye uwezo wa kusaidia wenzao, kuwahimiza kujitambua na kuelewa mahitaji halisi ya fani ya dance.
Cc: @missloloh_ @djfantastic255
#TheSparkShow
#Clouds26Nyoosha