#MEZAHURU:”Mashindano ya Open Water” ni ya kuogelea maeneo yenye vyanzo vingine vya maji kama Mito, Maziwa na Bahari, tumezoea kuogelea kwenye mabwawa tu Swimming Pool, muongozo mpya wa kuwa na mashindano ya maeneo haya ipi tija zake? Tanzania tunayo maeneo mengi ya hivi?