Makumi ya watu wanahofiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika ukumbi wa baa kwenye hoteli ya kifahari ya Crans-Montana iliyopo kwenye mji wa Vilais nchini Uswisi wakati watu hao walipokuwa wakisherehekea mwaka mpya.
Faraja Samo ana taarifa ya kina.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi