Baadhi ya abiria walionusurika kifo katika ajali iliyoua watu 10 usiku wa kuamkia Januari mosi, 2026 mkoani Morogoro wamesema ajali hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa na mwendokasi wa gari yao.
Mwandishi wetu Theresia Mwanga amewatembelea majeruhi hao.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi