Kamanda Mousavi: Wananchi, wanajeshi wa Iran watasimama na QatarKamanda Mousavi: Wananchi, wanajeshi wa Iran watasimama na Qatar



Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran amesema kuwa serikali, taifa na vikosi vya kijeshi vya Qatar vinapaswa kujua kwamba, Jamhuri ya Kiislamu na jeshi lake litaendelea kusimama upande wao hadi mwisho.



BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *