Ikiwa imesalia wiki moja kabla ya muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2026/2027 kwa shule za msingi na sekondari kuanza hapa nchini, wazazi, walezi na viongozi wa serikali za mikoa na mitaa wako mtaani ‘kiguu na njia’.
Vipi kwa upande wako?
Mhariri @moseskwindi