
Taifa Stars yapokelewa kwa heshima
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema nchi hiyo sasa ni mshindani halisi wa michuano ya AFCON baada ya Taifa Stars kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza kwenye historia ya mashindano hayo.