#Habari: Zaidi ya nyumba mia nne katika Vijiji vinne vilivyopo Kata ya Msangano, wilayani Momba, mkoani Songwe, zimezingirwa na maji baada ya Mto Nkana, kufurika na maji yake kuelekea kwenye nyumba hizo na kusomba mazao, huku baadhi ya wakazi wakilazimika kuyakimbia makazi yao baada ya nyumba zao kujaa maji.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.