YAS CHUO CHALLENGE CUP MECHI ZA UFUNGUZI
📌Mechi Day one Ufunguzi wa Mashindano ya Yas Chuo Challenge Cup Season IV
Vyuo 16 vinaenda kushindana kupata Bingwa wa Mashindano haya ya vyuo vikuu na vyuo vyati Je Chuo gani kuibuka na Ubingwa.?
Safari inaanza leo tukutane Nyamagana