Wazazi na walezi nchini wamesema wanatamani kuona mazingira ya kusomea na kujifunzia wanafunzi yakiwa yameboreshwa pindi muhula mpya wa masomo utakapoanza mwanzoni mwa wiki ijayo.

Muhula mpya wa masomo nchini kwa shule za awali, msingi na sekondari unatarajia kuanza Jumanne Januari 13, 2026.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *