12 Januari 2026

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz awasili India kwa ziara rasmi ya siku mbili. Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran latahadharisha kuhusu mauaji ya halaiki katika maandamano. Na Syria yaudhibiti kikamilifu mji wa Aleppo.

https://p.dw.com/p/56et4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *