Urusi imesema mazungumzo ya amani na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenky kwa sasa yamesitishwa. China imeilaani kitendo Marekani na Uingereza kutumia eneo tete la Mlango Bahari wa Taiwan kupitisha meli zao za kivita. Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeiahirisha hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Rais wa zamani Joseph Kabila.