Aidha Wadephul na Rubio pia wanatarajia kujadili suala la usitishaji vita nchini Ukraine na juhudi za kuisaidia ili kujilinda dhidi ya uvamizi mkubwa wa Urusi.

Kabla ya kuanza safari yake, Wadephul aliikumbusha Marekani kuhusu wajibu wake wa kulinda uhuru, kujitawala, na kuunga mkono jumuiya ya kujihami ya NATO.

Rais wa Marekani Donald Trump anataja umuhimu wa kimkakati wa Greenland, uwepo mkubwa wa meli za Urusi na China katika eneo hilo, pamoja na rasilimali asilia za kisiwa hicho kama sababu za vitisho vyake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *