12.01.2026 Matangazo ya Mchana SK2 / S02S12 Januari 2026
Iran yadai kuwa hali kwa sasa “imedhibitiwa kikamilifu”+++Serikali ya Uganda imeipinga ripoti ya Umoja Mataifa inayoikosoa vikali kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu+++Ujerumani na India zakubaliana kuimarisha usalama na uchumi+++Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walioko katika kambi ya BIKINGA nchini Burundi, wamezungumzia kutoridhika kwao