#HABARI: Ujenzi wa mradi wa Soko la Kimkakati la Kimataifa Kagunga wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni mbili unaolenga kuboresha na kuimarisha shughuli za kibiashara hasa katika nchi jirani za Congo DRC na Burundi umeshindwa kukamilika kwa zaidi ya miaka 16 huku wakandarasi watatu kwa nyakati tofauti wakishindwa kufanya kazi hiyo hali iliyopelekea Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro kutembelea eneo hilo kwa lengo la kutatua changamoto hiyo na kuagiza mkandarasi aliyepewa shughuli hiyo kufika ofisini kwake ndani ya wiki moja.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: Tuma 1,000/- kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M-Pesa, au Halopesa kwenda namba ya kampuni 222223. Kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *