#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Joseph Daudi Mwakalinga Mkazi wa Zimbili Kinyerezi Wilaya ya llala Salaam kwa tuhuma za kumjeruhi kwa fimbo na moto mtoto wake (jina limehifadhiwa). Tukio hilo linadaiwa kutokea Januari 08, 2026 eneo la Kinyerezi ambapo mtuhumiwa anadaiwa kutenda tukio hilo.

Hatua zaidi zinachukuliwa dhidi ya mtuhumiwa kwa kushirikisha mamlaka zingine za kisheria. Polisi Dar es Salaam inatoa wito kwa wazazi, walezi na wananchi kwa ujumla kujiepusha na vitendo vya ukatili.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *