13 Septemba 2025

Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Jumuiya ya Kujihami ya NATO kusitisha kununua mafuta ya Urusi na kuiwekea vikwazo vikubwa ili isimamishe vita Ukraine. Wapalestina 32 wauawa Gaza katika mashambulizi ya Israel. Marekani na washirika wake wa Quad wapendekeza mpango wa kusitisha mapigano Sudan.

https://p.dw.com/p/50Qz7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *