#HABARI: Watoto wawili wa familia moja, wamenusurika kifo baada ya nyumba yao iliyopo mtaa wa Ligula A, Kata ya Chuno Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara, kuteketea kwa moto huku chanzo kikidaiwa kusababishwa na watoto wenyewe kuchezea moto wakiwa chumbani.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
